PUMA WAZINDUA NJUMU MPYA ZITAKAZOVALIWA NA BALOTELLI, FABREGAS KOMBE LA DUNIA

KAMPUNI
ya kutengeneza vifaa vya michezo ya PUMA imezindua viatu vya EvoPOWER
kwa ajili ya kombe la dunia mwaka huu nchini Brazil.
Viatu hivyo vimezinduliwa na wachezaji nyota wawili, Mario Balotelli wa Italia na Cec Fabregas wa Hispania.


Wachezaji wa Arsenal wakitumia viatu vya Puma katika mazoezi


No comments:
Post a Comment