Siku
ya leo ndio siku ambayo ilitakiwa fomu za kugombea uchaguzi wa mkuu wa
TFF zilipaswa ziwe zimeanza kutolewa lakini mpaka sasa hakujawepo na
tangazo lolote kutoka TFF kuhusu uchukuaji fomu kwa wagombea
watakaopendelea kugombea nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi huo.
Mtandao huu ulijaribu kufanya uchunguzi kufuatilia nini tatizo nyuma ya uchelewaji huu wa kuanza mchakato wa uchaguzi, tukaja kugundua kwamba tatizo ni kwamba katiba iliyofanyiwa marekebisho na mkutano mkuu wa TFF hivi karibuni imekataliwa kusajiliwa na msajili wa vyama vya michezo.
Kwa mujibu wa uchunguzi wetu katiba ya TFF imekataliwa kusajiliwa na msajili kutoka na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa ajili ya katiba kuwa halali kusajiliwa.
Kisheria ili katiba ipate uhalali wa kusajiliwa na msajili inabidi ufanyike utaratibu wa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa TFF na baada ya hapo 2/3 ya wajumbe wapitishe mabadikiko ya katiba hiyo ndipo itakapopata uhalali wa kusajiliwa na msajili wa vyama vya michezo.
Kingine kilichokwamisha usajili ni kitendo cha TFF kuteua kamati mbali mbali mpya kabla ya katiba kusajiliwa. Sasa waliteua kamati kwa kutumia uhalali wa kamati gani?

No comments:
Post a Comment